Kizazi cha Dawa | Full Swahili Movie

0
Simon alikuwa na mke wake ambaye kwa muda mrefu waliishi bila kubaharika kupata mke jambo ambalo liliwasononesha sana hivyo wakaamua kwenda kwa muganga wa kienyeji ili wapate mtoto

Majanga yakaanza baada ya mtoto kupatikana na kugundulika kumbe ndio yule mganga aliingia kwa njia ya kuzaliwa ili ampate Simon kwani alimpenda siku ya kwanza tu wanaonana

Rafiki yake Simon alimpeleka Simon kwa mganga mwingine ambaye alipambana na majini kiasi cha kuhatarisha maisha yake na mwisho akashinda

Haya ni machache kati ya mengi ambayo natakiwa kuyatazama katika filamu hii ya Kizazi cha Dawa

Karibu sana ujionee mwanzo mpaka mwisho na usisahau kubonyeza like na kusubscribe katika channel hii ukiwa bado

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)