Njaa au Mchawi? | Comedy

0
Binti kaja zake na ugali wake akaanza kunusa harufu ya nyama huku anashushia na harufu ya nyama🤣
Wenye mgahawa wakashindwa kumuelewa ikabidi wamfuate

Karibu sana kwenye channel yetu kwa video za kuchekesha kila mara, kama ni mgeni usisahau kusubscribe ili kuwa mwanachama wetu, karibu sana

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)