Domo Zege Aumbuka | Comedy

0
Kwa Wale Wenzangu Namimi Tusiojua Kutongoza Hizi Style Zitakuja Kutufanya Kuishi Bila Wanawake😂🤣

Una shindwa kwenda kwenye pointi unakalia kuleta maneno maneno na mikwara🤣

Jionee huyu dogo alivyoumbuka hapa

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)