Hasira Hasara | Comedy

0
Bidada katoka zake kununua mkate kama kawaida lakini njiani kakutana na hasimu wake akataka wapigane

Katika kuwaamua ndipo mambo yakawa sio mambo tena🤣

Nipeni sapoti kwenye kazi zangu japo bado najikongoja ila sapoti yenu ndio itanifikisha mbele zaidi, karibuni sana

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)