Shoga Mnafiki | Comedy

0
Kuna ile unajua kabisa adui yako hakuogopi hivyo unaamua kuomba msaada lakini unapoomba msaada nako shida tupu😂

Sasa Hawa Maneno Mengi Nguvu Hakuna Mpaka Wanakimbia Zari na Wamelitaka Wao🤣😂

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)