Sauti ya Ajabu | Comedy

0
Kando ya barabara inasikika sauti ya amri ikiamlisha mambo ambayo inataka yenyewe halafu wapita njia wanafuata lakini kumbe ni ujanja ujanja tu

Licha ya kuhisi lakini hii sauti inafanya watu waogope sana

Ingekuwa ni Wewe Ungefanya Nini?

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)