Mume Kikojozi Kayakanyaga Kwa Mkewe | Comedy

0
Mume mlevi leo kajichanganya kwa mkewe Mama Issa

Alikojoa akataka kumsingizia mwanae ambaye hakulala hapo nyumbani alikuwa Bibi yake

Ilikuwa ndio tabia zake kumsingizia mwanae ili afiche aibu lakini leo kayakanyaga😂

Jionee mwenyewe mkasa mzima

Usiache kujiunga na channel hii kwa video zaidi

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)