Shuhudia Mwizi wa Simu Alichofanyiwa | Comedy

0
Wizi ni mbaya sana
'Nimekwapua simu ya mrembo hapa aisee kilichonikuta najutia maamuzi yangu

Nimepigwa mpaka nimekoma
Simu nimerudisha pia yaani mpaka nimekosa hata cha kujisaidia zaidi ya kukimbia tu' Matongo

Ndio mkome wizi😂
Naomba tuendelee kusapoti kazi za wasanii wetu ili wafike malengo yao

Namimi nitahakikisha nakutumia hapa kila itokapo kazi mpya

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)