The Dead Camp | Ep 02

0
Baada ya kumuona mpiga picha kashikwa mkono tukajiuliza nini kiliendelea hapo na ni nani alimshika mkono

Naamini katika muendelezo huu utajua wazi nani alimshika mkono na kipi kilifuata baada ya hapo

Pia tutamuona mpiga picha alivyohangaika kuwanasua wale mabinti wawili katika mtego walioingia bila kujua

Mapenzi hayana eneo maalumu hivyo tuone kwanini nimegusia hoja ya mapenzi katika maelezo yangu haya
Mpiga picha alikuwa akimpenda moja ya wale wateja wake kwa kipindi kirefu hivyo aliona atumie nafasi ile kumpata

Unahisi alifanikisha kumpata yule binti?

Usisahau kabisa kuwa
Katika eneo walilokuwa hapakuwa salama kwa wao kuanzisha mahusiano na hapakuwa salama kwa wao kuendelea kupoteza muda

Acha tuendelee kutazama mkasa huu wenda tukapata mengi tusiyoyajuaChapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)