Binti Atapeliwa Simu | Comedy

0
Huyu dada katika pitapita zake alikutana na dada anataka msaada wa mawasiliano akamnyima na kumsema sana ndipo nayeye alipopata pigo la kuibiwa simu

Malipo ni Hapa Hapa Duniani Hakika, Usipende Kufanyia Wenzako Zalau Utalipwa Zalau Vile Vile, Tazama Video Hii Kisha Weka Maoni Yako Kwenye Eneo la Kuchangia Maoni Hapo Chini Kuhusu Video Zetu

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)