Harufu ya Wali Yazuwa Kasheshe | Comedy

0
'Dada ametuachia maagizo tupike chakula kinukie vizuri halafu tumetii maagizo tena anatupiga

Kwamba kosa letu ni kutumia akili zetu kutatua tatizo au shida ni nini?' Matongo

Jionee video hii kisha dodosha comment hapa kwamba nani hakumuelewa mwenzake

Naamini video za hawa jamaa zinakuvutia kutazama
Basi naomba wape maoni yako ili wajue wapo na wewe katika gurudumu hili la burudani

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)