Mama Mkorofi | Comedy

0
Akina Mama Wengine Sijui Wapoje Jamani, Yaani Kosa Dogo la Watoto na Lingefaa Kuwekwa Sawa Kwa Mazungumzo Tu Lakini Utashangaa Wanakuja Juu Pasipo Kupima Uzito wa Tatizo Lenyewe

Hebu Tazama Hapo Kisha Nipe Maoni Yako Hapo Chini Unahisi ni Mama Yupi Ana Kosa Hapa?

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)