The Dead Camp | Ep 03

0
Baada ya misukosuko yote tuliyotoka kutazama katika Episode ya Pili naomba tuendelee na mkasa huu ambao utakuacha na huzuni

Tumeona mpiga picha alivyojitahidi kutaka kuwanasua wateja wake na mwisho akaona vitu vya ajabu ajabu vikitishia amani na tunataka kujua nini kiliendelea

Tutaona mpiga picha pamoja na mmoja ya wale wadada wakiwa wamelala
Waliota ndoto ambayo ina tukio lenye kufanana isipokuwa walitofautiana wahusika katika ndoto
Mpiga picha alimuota yule dada aliyemtamkia anampenda na yule aliyeotwa na mpiga picha akamuota rafiki yake

Hakika inatisha kwani ndoto yenyewe haikuwa nzuri kamwe
Tutaona mpaka mwisho ambapo waliendelea kukutana na vitu vya kutisha ndani ya nyumba ile waliyoingia na kugeuza sehemu ya kubadilishia mavazi

Pia mwanzo kabisa tulimuona kijana akiuwawa na hauwezi amini anaonekana tena akiwa mzima na akiwakaribisha mpiga picha na wale wadada

Ilikuwaje akawa hai?
Naomba tuendelee kwa kutazama filamu hii ambayo ina matukio ya kusisimua ndani yake

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)