Ugomvi, Amlisha Unga Shemeji Yake | Comedy

0
Dogo kamkuta shemeji yake ananawa uso akachukua unga ndani kisha akamtolea maji yake na akamtegesha ule unga ili shemeji ajichanganye

Mpango ulitimia ila kwa mbinde sana🤣😂

Tazama Video Hii Kisha Weka Comment(Maoni) Yako Hapa Ukitoa Kura Zako Kwa Video Hii, Kama Inatependeza Tuendelee na Zingine Mpya au Lah!

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)