Usiende Less | Ep 03

0
Tuliishia Combo akiwakimbia mabinti aliowaleta ofisini kwa Lava na kumuachia Lava kesi
Sasa tujionee nini kilifuata baada ya hapo

Kuna tukio lilimtokea Lava utaliona kwenye episode hii hakika isingekuwa rafiki yake Mussa ingekuwa aibu zaidi😂

Wakati Mussa na Lava wanaachana na msala ule kuna kitu utakisikia na utagundua siri ya kazi ya Mussa ukiachana na Saluni kama nilivyokudokeza Episode ya kwanza kabisa

Lava aliamua kujishusha kwa jimama lake ili tu arudi katika maisha ya mwanzo na Sofia akamsamehe na wakarudiana

Combo alimkuta Lava ofisini kwake wakaongelea jambo lililomkuta Lava mwisho Combo akamtaka Lava amuite mke wake aje pale kazini kwa Lava

Combo anakutana na mke wa Lava kuna mzigo anampa

Combo na Lava wanaenda mgahawani kula na wanatoa pesa lakini anakamatwa na wahusika na kushushiwa kipigo

Nikuombe utazame mwenyewe ujionee yote niliyokuelezea na mengine mengi katika mkasa huu wa 'Usiende Less'

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)