Chanzo Mama | Comedy

0
Maneno ya Mama yamchukiza mtoto akaamua kuchukua maamuzi haya ili kumkomoa Mama yake japo haikwenda kama alivyotaka akaamua kutumia kama sababu kujua ukweli wa kauli za Mama yake

Hizi kauli za mama zetu wakati mwingine zinapishana sana na vitendo, sasa nipe maoni kuhusu video hii na zingine zote hapo kwenye maoni

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)