Kizazi cha Dawa | Ep 03

0
Simon aliambiwa na mganga kuwa ana wanawake wawili tukaishia hapo
Sasa tuendelee na mkasa huu mpaka mwisho

Kwa mganga kulikuwa na mengi sana aliyoambiwa lakini baada ya kuondoka majini yalimkuta yule mganga na kumuomba alimsaidie Simon lakini walikimbizwa na dawa za mganga

Yule Jini mkuu walikutana tena na mganga njiani lakini hakuna alichomfanya na wakati huo mganga alikuwa akielekea kwa yule mzee aliyewahi kumshauri Simon kwenda kwa mganga

Katika maelekezo ya mganga waliambiwa waende baharini kumaliza mchezo mzima lakini walikutana kule kule na majini na kesi zikaanza tena lakini mganga alitokea na kuwazidia nguvu wakakimbia na kazi ya kuwaangamiza wale majini ikaendelea na mwisho utaona kila kitu katika filamu

Mauza uza yalihamia kwa mke wa Simon ambapo alihangaishwa na wale majini wakitaka kumuangamiza lakini walishindwa kwani mganga alifanikisha kukamilisha jukumu lake la kuwazuia majini wale

Naomba nikuache utazame episode hii ujionee tukio zima

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)