Penzi la Usaliti | EP 05

0
Tuliishia kwa mganga hivyo tuendelee ili tujue nini kiliendelea katika mkasa huu wa kusisimua

Mganga alikuwa na mbwembwe za kufa mtu
Kama mjuavyo waganga njaa walivyo, lakini sio wote jamani hivyo ni maigizo tu haya nisije kuharibu biashara ya mtu

Mganga alimsikiliza na kumpa maono yake na mwisho wakafikia kupeana dawa ambazo zilisemekana kuwa msaada wa kuweka sawa familia ya Mariam

Baada ya pale walitoka kwa mganga lakini muda haukuwa rafiki kabisa hivyo mumewe alikuwa akimpigia simu ili kujua alipo
Shida inakuja baada ya mume kuamua kumtafuta na aliwakuta mkewe akiwa na rafiki yake ambaye walianza kudanganya kuwa wametoka kuangalia mtoto mgonjwa

Vurugu kubwa ilitokea eneo lile na Philipo aliamua kumuacha pale mke wake na kuondoka zake akimuacha Mariam akilia

Baada ya kutoka pale, mke wa Philipo yaani Mariam, alienda nyumbani ambako aliwaza mambo mengi sana akifikira kati ya dini yake na mambo ya ushirikina
Maamuzi aliyoyachukua ilikuwa na ni kufanya maombi na hayo maombi yalijibu na naomba utazame nini kilichotokea baada ya hapo

Naamini utakuwa umefurahia vilivyo katika mkasa wetu huu
Ili kutoa sapoti unatakiwa japo kulike video hizi kumpa nguvu muandaaji ili aweze kuleta kazi nzuri zaidi kila siku

Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza Subscribe kama utataka usipitwe na filamu mpya na usisite kutembelea Zephiline.Com kwa ufafanuzi wa filamu hizo kila zitokapo

KARIBUNI SANA


Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)