Wamkalishi Kwenye Maji Mke wa Ndugu Yao | Comedy

0
Dada na Kaka wamkalisha kwenye maji mke wa kaka yao kama utani vile
Wakati anakuja kukaa yeye alijua kiti kile ni kirefu hivyo akajiamini na kukaa kumbe hakukuwa na kiti bali majanga🤣

Ukiwa na Shemeji Pamoja na Wifi wa Aina Hii Unaweza Kulia Kwa Utani Huu🤣🤣
Tazama Hii Video na Naomba Comment Yako Hapo Kwenye Box la Maoni(Comments) Kama Umeipenda

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)