Usiende Less | Ep 04

0
Tuliishia Combo alipokamatika akiwa na pesa bandia na kupewa kipigo

Lava alimsaidia na walipotoka alimshauri mengi sana kuhusu issue hizo za ajabu
Kumbe hata yeye aliwahi kushauriwa na Mussa afanye hizo issue za pesa bandia ila yeye akakataa ndio akawa anamshangaa Combo kuwa anafanya mishe hizo

Lava na Combo walienda ofisini kwa mke wa Lava
Kumbe alikuwa na baa hivyo wakamkuta na mteja japo Lava alihisi ni hawala wa mke wa yaani Sofia

Bwana wee
Baada ya tukio hilo walikutana barabarani wakati wanarudi nyumbani ndipo Lava akamchapa makofi na ngumi mke wake huyo
Kumbuka Lava analelewa na Sofia

Baada ya kuamliwa ugomvi walienda nyumbani wakiongozana na Combo aliyekuwa akijaribu kuwaamua ugomvi

Boss wa akina Mussa na Combo alifuatwa na askari akionywa aache kusambaza pesa bandia lakini alimjibu majibu mabaya ambayo yalikuwa na ukakasi na waahidiana kufanyiana mabaya

Sofia alipokuwa akifanya kazi iligundulika zimeingizwa pesa bandia wakahisiwa yeye na mfanyakazi mwenzake ndio wanahusika

Mapenzi upofu
Sofia alimfuata Lava na waahidiana kukutana tena
Combo kumbe alimuingiza kwenye mitego ya pesa bandia hivyo walikutana kwa Lava akamkanya amuache

Kuna mengi naomba yatazame katika mwendelezo huu wa filamu yetu ya 'Usiendel Less' ikiwa ni episode ya 4
Jionee Lava na Sofia walivyojikuta katika aibu baada ya kufumaniwa na mtotošŸ¤£

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)